Letra de Tamika
Letra powered by LyricFind
Tamika - Dully Sykes Tanzania
rudini nyumbani Tamika
kwani watoto wanateseka aah...
nikikumbuka tulikutoka
roho yangu inasononeka ooh...
2x
yapata mwaka miezi tangu utoroke nyumbani mpenzi
watoto wamekosa malezi sababu yako Tamika mpenzi ooh
Naomba piga japo simu unieleze unapoishi
uchangamufu na ucheshi wako sasa nisimulizi
watoto wanalia njaa na baba yao sina hata kazi
nitakuja kupata uchizi
sababu yako Tamika mpenzi
Refrain ---
walimwengu sina furaha
naishi kwatabu na ka raha
naimba huku nasononeka
kwa mambo aliyoyafanya Tamika
uzuri wake akicheka nikimkumbuka nahusunika
sina hata lakufanya
au sababu mimi sina pesa
moyo wangu unajuta
ni jinsi gani ninavyokupenda
Wazazi wako hawajui mahali gani ulipokwenda
Hebu Tamika kwanza kumbuka
huku nyumbani umeacha watoto
na mimi mzazi mwenzako
na kufikiria wewe uliko
Rudini ......
nimemkosa
nimetafuta
Mobasa
nimetafuta
Kampala
nimetafuta
Nairobi
nimetafuta
Tamika
Letra powered by LyricFind