Rayvanny

Tetema
Aya twende tetema (ooh mama tetema) Tipwa tipwa tetema (ooh mama tetema) Aya twende tetema (ooh mama tetema) Shuka chini tetema (ooh mama tetema) Its s2kizzy baby Tetema yaani kama umepigwa shoti Tetema nipe migandisho ya roboti Tetema ukutani hadi kwenye kochi Tetema kwenye giza mama shika pochi Katoto kamenoga (ooh mama) Nakapandizi za bukoba (ooh mama) Nakapadisha bodaboda (ooh mama) Kakichoka kuchuma mboga (ooh mama) Aaahh mama shigidi aah Nakufa wooi wicked aahh Aahh mama shigidi konki Fire, moto, liquidy Aya twende tetema Letras de canciones(ooh mama tetema) Tipwa tipwa tetema (ooh mama tetema) Aya twende tetema (ooh mama tetema) Shuka chini tetema (ooh mama tetema) Aya twende tetema (ooh mama tetema) Tipwa tipwa tetema (ooh mama tetema) Aya twende tetema (ooh mama tetema) Shuka chini tetema (ooh mama tetema) Tetema! Yaani kama vile generator (tetema) Kama mwizi kakupiga ngeta (tetema) Mwendo wa kutwanga kupepeta (tetema) Chini nikipuliza tarumbeta Asa wooza! Wooza! Cheza shogoloza Kufa chali kama mende Maria Roza poza tungi limepoza Twende nikupige nyembe (brrr... Okay) You make my mind go kolo (kolooo... kolo) Ukinuna tu mie doro (Dorooo... doro) Washa! Saa nipe za digidigi Washa! Miuno ya giggy giggy Washa! Funga kibindo mkwiji kwiji Washa! Nikunyonge ka ziggy ziggy Teeete! Tipwa tipwa tetema (ooh mama tetema) Aya twende tetema (ooh mama tetema) Shuka chini tetema (ooh mama tetema) Aya twende tetema (ooh mama tetema) Tipwa tipwa tetema (ooh mama tetema) Aya twende tetema (ooh mama tetema) Shuka chini tetema (ooh mama tetema) Ayo Lizer, Chiii!! Kichaa kime-kime-kimepanda Ame wehuka (Kime-kimempanda) Kapandisha mizuka (Kime-kimempanda) Ana ruka ruka (Kime-kimempanda) Kichaa kime-kime-kimempanda Kapanda juu ya meza (Kime-kimempanda) Eti anavua shati (Kime-kimempanda) Kalewa anacheza (kime-kimempanda) Yaani varangati Wasafi From Letras Mania